Hello meshers, Mimi najaribu kuanza business ya kuuza viatu, so narequest advice yenu on the matter. Ile business natala kuanza ni ya kuuza viatu zile quality first hand zenye hutoka kitu 1500 to 2000 but sijui nitaanza wapi. Any information ya viatu kama mahalo naweza pata stock legit na how much nafaa kuinvest in it would be appreciated. Thanks in advance.
0
0
0