
Hello MESHers...Mimi ni student apa TuK and I want to share an opportunity,msee nafanyanga kazi part-time amefungua bookshop along haille Selassie apo building ya Mang club na amenipea chance ya kuleta msee natrust akue anamfanyia. No major requirements,akue tu amemaliza form 4 na akona cert. You can WhatsApp me if interested or you know someone 0797349661
0
0
0