
Hello Meshers, Mimi nina 32 years. Healthy and physically fit. Nimekuwa nkihustle over the years in different ways na sahii sina hustle. Long term goal yangu ni kuingilia agriculture but for now, Naomba anyone mwenye anahitaji help kwa biz yako ama unajua place naweza kimbia hata kesho niwahi job ntaappreciate sana. Namba yangu ni 0729167776 au 0114541138
0
0
0