
Hello meshers, nadai advice hapa ivi. Nimekuwa nikisaka job for a while na ni kama haijipi na naneed pia kulipa rent which is due. Ni job gani naeza do online na smartphone at least ni make something out of it and clear debts. #helpacomrade #Tuinuane
0
0
0