
Hello Meshers nafanya this week free Advert on my social media platforms, ni simple i have a program of paying fee for one student ako form 3 pale Tononoka Sec School na any amount mtani bless nayo itakuwa appreciated, for the student discretion namfanyia kama suprise already nina 3k na target ni 16k to clear all the balances ana owe chuo.
Keep a child in school is the program nakuja kwenu niki omba mdaa huu, si lazima ni moyo tu... Ukiwa nayo 0723956195 ndio number, jina italeta Stephen. let's do this, can also text on WhatsApp or Dm your name I'll do a list of wote watakao tuma.
SO BACK TO BIZ ADs Requirement ni utume details za biz yako na pics kama zipo, free boosting this week. Hii ndio itakuwa repayment yangu kwa wote, you'll see greatness in yuor biz.
#ShareToKeepAChildInSchool