
Hello Meshers naitwa Caro Biz yangu ni kuuza "fombe" βΊοΈ pale mtaani kwetu. (We drink responsibly)
Nilianza hii biz last year October with the strict directives ambazo gava iliweka all along nimesurvive na nashukuru God π Meshers pia mmenijenga big time cause kila time nikichecki timeline lazima nilearn sth new. Shukan mmbarikiwe Sana na biz zenu zijipe in the coming year.
Ukijisikia kucheza na sisi ile kawimbo ya "Above the Head" hii Krisi umekaribishwa club yangu ni B-Club Makueni county it is! πππ For more info DM.
Merry Christmas and a happy 2022!

0
0
0