Hello MESHers, naitwa Roba nadai kufungua biz ya spare parts za nduthi, nimepata place pa kueka iyo biz. So nadai mnichapie plan ya kuianza na ku-run ii biz since am new to such kind of biz