Hello MESHers.. natafuta supplier wa miguu,maini, gizzards na vitu kama shingo za kuku or any slaughter house around. Location ni Kenyatta road Juja.