
Hello meshers. Nataka kuanza biz ya kuuza fruits na I have almost everything required ie mwavuli na place ya kuwekelea matunda and all that. Niko na 2k atleast ya kuanza but i feel like i need more exposure on the strengths and weaknesses za hii biz. Educate me before I risk blindly
0
0
0