
Hello Meshers, New day, new blessings. Carolina anadai kuwachapia experience yangu towards success to owning my own club! Hapo kitambo nilikuwa nimeajiriwa na bff wangu kwa job yake similar to mine! So nilikuwa napitia challenges most especially pale mtaani nilikuwa naishi. Mistake moja nilifanya na ningependa kusho wasee hapa mesh kwanza when you are employed usiwahi explainia employer wako background Yako.(I mean the worst part of your life) As I was working pale dharau Fulani iliingia from no where na ju mimi ni tough girl nikavumilia💯 . Having in mind nitaget biz yangu kama hiyo someday! It only took me 8 months kuraise Capital yangu na hiyo ilikuwa tu mshahara yangu na tip yenye nilikuwa napata. Right now am working for myself na tumeweka respect ingine murwa towards each other so that was my story then.
#TerrificMeshTuesday #TerrificMeshExperience