
Hello Meshers, Ni Producer Cedart hapa. Poleni nilikua nmehata sana but am back! Yani niko so happy kwa ile support mmenipa while i was away. 2 weeks remaining nichukue hii award and trust me bila ninyi siwezi. So far kwa leo naapreciate wote mlio nivotia, na wale wenye bado najua mkipata hamwezi niwacha. Voting can be done as many times as you can na hata kura moja nitashkuru. Gala Awards itakua 26th December huko Kitale. Meshers from Kitale si mtaturn up, au sio?


0
0
0