
Hello MESHERS, niite Jared na niko na partner angu Albert. Mtaa ni Embakasi South na base ni Rampage. Manze life has not been easy since corona ikue announced Kenya. At rampage Kuna movies/series pia tunafanya clothe branding bila kusahau photography (picha kali kali kwa bei poa). Bado ss hufanya mentorship kwa mayut pale mtaani. Thanks to shujaaz fraternity kwa kusimama na ss kutoka time corona ifike Kenya, biz ilirudi chini Sana. Hata hivo tulizidi kujilinda kutokana na changa la corona kwa kuosha mikono, kuvaa mask na kumek sure client pia anafanya hivo hivo. Shukrani zetu kwa all our esteemed clients who always listened to us. Us we always said WE SHALL WIN. Thanks #shujaaz #djboyie #mesh #sisiNiMESH
0
0
0