Hello Meshers nijengeni na advice ya kucreate awareness about biz ya online marketplace. Goal ni kupata More awareness to customers na to sellers so that wauze kwa marketplace. Nimejaribu kadhaa. One which will be effective and impactful.
Biz inaitwa Airsoko (airsoko.com)
By the way kama unajiamini you can pull the strings of Marketing for Airsoko to success, unaeza kutureach.
0
0
0