
Hello meshers,
Niko na biz ya small pub side za kasarani mwiki, iko na license inaexpire next year April, nadai kuiuza ju Mimi ni software developer so most time Niko busy, so sipati time poa yakuicheki. Mwenye ako interested anaeza reach out aicheki.
Shukrani
0
0
0