
Hello Meshers, niko na form fulani inaendelea na ningetaka kuwaleta in the loop, ju kunaweza kuwa na msee anatafuta mahali pa investment. AMG wako na form ya mavijanaa below 30 years. Inaitwa Rumuruti mayouth, hapa unapata ka plot na 120k, na unaweza lipa na instalments. Ukitaka any more info unaweza WhatsApp 0757738659. https://wa.me/254757738659
Text, uliza kuhusu form ya ma youth. Remember title unapata within 60 days na ofisi zao ziko pale Rosters. Msiitikie hii form isiwapite.



0
0
0