Hello Meshers niko na wajst bag ingine kali ya kuficha simu na pesa ukienda events ndio usifanywe mbaya na ma pickpockets na pia kama we ni msee kutravel iko na front compartment mahali unaeza access passport na boarding pass ya kuonyeshana kwa materminals ndio uweze kupanda ndegenkwa urahisi ama pia kama ww ni msee wa boda unaeza sunda simu na pesa ndani ndio ukipiga mboka hakuna kitu inaanguka .Brown Na Grey colors ziko available DM on 0745045393 to make your order
0
0
0