Hello Meshers, niko Njiru Kangundo Road. Nataka fundi wa mbao wa kutengeneza meza. If you have the skills and you are interested ama unajua fundi mzuri, comment here. It is a one-day work.