
hello meshers,nimefurahi sana kujoin #MeshLife mimi hapa nimehustle sana kwa hizi streets nimefanyia watu kwa masoln,bibanda hotels juu sikuwa na job,but sai nimesave doh enough ku-run bizna yangu ya salon&cosmetics My advice to fellow Youths kama kuna msee hapo nje anafill ku-loose hope mlife imekukalia,be strong bro/siz,work hard ba Sir God hubless kila jasho #MeshLife #ShujazBiz #JulieBiz
0
0
0