Hello meshers nimekuwa na interest sana na mushroom farming, shida ni sina hizo skills but niko na kapiece of land ready inangoja tu kusupplementiwa na skills. Anyone from this sector who can advise me ama anaoffer these skills?
0