Hello MESHers nimerelocate karibu na highway but mostly hizi trucks ndo mob sana, transits. Ebu nijengwe na advice kwa comment section n business gani mtu anaeza fanya place ka hii
#Jengwanaadvice