
Hello #meshers
Nlikuwa nataka kushare about taking your biz online and how to do that. Online kuna a large market and easy cheap communication with your customers.
Hustle yangu
Natengeneza simple cheap websites za biz zenye zitahelp marketing your products and services. Website pia huhelp in communicating your message kama kuna offers unapeana to your clients in the most affordable way possible. Hizi websites pia zinaeza tumika to get you reviews na five star rating from your clients once you complete transacting nao so ni good pia for your business profile. Also this website links unaeza share them Kwa your social media profile ili wasee wawe wakicheki hustle yako na team uko nayo and the rest. Pia kama uko na a physical location tunakuongeza Kwa Google maps ili client akihitaji kujua location yako itakuwa easy kwake.
friendsofthompson.business.site Hii ni example ya website for an art shop namanage, visit it ujionee venye yours will be looking like. Pia ukisearch pale Google maps utanipata with more specifics ya what they offering. Looking for five businesses zenye zinaeza taka to start on this no charges, then they can share na meshers, especially zile zina fixed operating location.