Hello Meshers, one thing ningependa kuwashow ni kwamba try atleast in a week umesoma articles kadhaa related to your expertise. Maybe kama ni beauty, fashion, health, ICT etc make sure kwa email yako umesubscribe newsletters za hiyo field. Inasaidia sana hata ukienda mahali unaweza changia trending topics. Hata kwa interview utaweza pata kitu ya kuongea.
0
0
0