
Hello MESHers.... Sai kuoperate biz yeyote bila license itakua hard cause kanjo wanazurura kwa mtaa, if ukona biz ya kinyozi ama unaplan kufungua unafaa kukua na business license, register your company and get a tax identification number (TIN) from the Kenya Revenue Authority (KRA). Tukae rada na tuendelee kujengana.

0
0
0