
Hello Meshers, so about hii stori na fuel venye imekuwa ngori tunafaa kuwa wajanja pia. Mostly watu wanaumianga sana ni wasee wanafaa biz ya nduthi na mat, na ikifanyika hivo mwananchi pia anaumia juu ya fare kuongezeka. Tips naeza wajenga nazo ni:
- Jaribu kuweka full tank, consumption ya mafta itakuwa low na at the end of the day utakuwa unatop up tu hence inakusave doo.
- Usiover speed, the more unaspeed the more consumption ya mafta kwa gari ama nduthi inaenda juu.
- Kuwa punctual kwa kufanya service, that way engine itakuwa effective. 4.usioverload, the more gari itakuwa heavy, the more itahitaji nguvu zaidi. Ndio ipate hiyo nguvu ya kusonga itabidi imeconsume mafta mob. So let's be wise Meshers. #Tuzidi kujengana
0
0
0