
Hello meshers Sometimes customers akikutumia pesa ni vizuri kuconfirm before aende .Leo nilipoteza 999 juu ya kutuconfirm . customers anakutumia one bob anakuuliza italeta Antony halafu wewe pia unakubali before kuconfirm by the time unakumbuka ashaenda na amekueka blacklist 😌.always check before aende 🙏.
0
0
0