Hello Meshers🤥 Tawi, Aliuliza hapa ushawahi Nunua kitu kufika ukaona umeoshwa😌?
Hapa customer amenunua 8GB yake mpya.. Kufika kwa mashine ni 15.8MB😳. Sema kushtuka..Ina save only 4 songs.. Kaa rada.

0