Hello meshers time kama hii ni ya baridi,nadhani tunaeza changamkia kuuza nguo za baridi , opportunity ka hii mnaona aje?