
Hello Meshers, unajua mbona madoki wanasema hii CBA ikue implemented?
Cheki,
-
Madoki enough watakua employed kwa hosi za county
-
Utasave time ukienda hizi hosi coz most of the time, huwa unangoja kwa line for long coz hakuna madoki enough
-
Kutakua na enough consultants kwa hosi za county kushughulikia patients wenye wako pabaya kiafya
-
Hautakua unaambiwa uende u-buy dawa kwa pharmacy yenye iko nje ya hosi. Hosi za county zitakua na enough drugs
-
Kama community hakutakua na kuchangisha doo mmoja wetu akiwa m-sick
-
Wakenya hawatahitaji kutravel majuu kupata matibabu
-
Bima ya afya ita-cover most of expenses za hosi
Ndo maana tunasema #ImplementCBA2017 tumalize hii #DoctorsStrikeKE

0
0
0