Hello Meshers, Venye weather kunanyesha kote Kenya nzima, Wafugaji wa Kuku nawa advice mfanye vaccination ya Newcastle Disease, Make sure chicken brooders ziko na joto la kutosha Kwa vifaranga na observe hygiene afu weka Biosecurity measures kama ka footbath kenye Kako na disinfectant Kwa mlango wa nyumba ya kuku.
0
0
0