
Hello MESHers wale wasee wakuliza unauza products zako ama services zako how much then after kuwajibu wanasema wanajua place wanawezapata at a cheaper price huwa wanaharibu good mood ya biz. leo tufungue roho nini customer alikuambia ukaskia roho imekatika?

0
0
0