Hello Meshers, Watu wakuje wasome. Sai izi short courses zinalipa sana na kupata job ni haraka either Kenya ama abroad. Kusoma inafavour mwanafunzi ju school fees Iko chini. Mode of study ni either Full time, school based, distance learning ama online learning. Manze mcome one come all. Intake Iko in progress. Haujachelewa


