Hello Meshers wenzangu. Nataka kufanya biz ya smoothies na Yorghut around college fulani. Nshafanya market research and the place iko fity for hiyo biz. Nataka niweke pia smocha. So mse amewahi fanya biz ya smoothies anaeza ni help kuunda business plan. Any body mwenye ako na idea.
0
0
0