
Hello mm nauza barafu, nilikuwa na group ilikuwa tuchukue youth group certificate na tufungue business yenye italeta income for 3mnth then capital ikitosha tuexpand na tufungue bizna zingine one of the ideas nilitoa ilikuwa tununue washing machine then tukodishe kwa watu for some hours under supervision na signed agreement for a cheaper rate since watu hutoa pesa na kuoshewa nguo na wengi hawana uwezo wakununua plus unaletewa hadi nyumbani kwako. Group imekufa na I believe in this idea sijui maoni yenu mtanisaidia aje
0
0
0