
Hello my good people.Kutembea Tu Kwa net nimepata hii story na Mesh....nikatulia na kujoin on the spot. Nimeperus kidogo nini inaendelea.Mdogomdogo nikajipata Niko Kwa community wazuri wenye wanaendelezana.Ahasnteni Sana...wasee sina Hustle mzuri na tena nikipata pia ni ngumu kusave hata kama ni kidogo. Infact nataka kuanza biashara hata ya 20k.
Nataka Advise yenuh wazito.
0
0
0