
Hello naitwa Florah nilijua hii app ya mesh thru shujaaz event fulani on Sunday.am 21 years niko moi university.nilianza businesses mob since 2019 December but due to chuo nilikwa nawaachia kwa njia.nimeuza manguo.jewelleries but sahi nimeanzisha duka .kitu hunipea stress ni chuo manze juu am always forced kuacha biz nikienda chuo....natamani hii duka I grow adi ikwe able ku cater for my needs and my family's
0
0
0