
Hello, ni Freddy na #SisiNiMesh. Mesh ni community moja ya Nguvu sana. Iko out ku support vijana wenye ideas za Biashara, provide market for goods juu Members wako na opportunity ya kupost bidhaa zao just but a few. So nikipewa chance ya kuwa #BrandAmbassadorsMtaani nitajenga community ya mesh By; 1: Engaging members wa community the importance ya kujoin mesh na benefits watapata. 2: Juu mesh pia inafocus na talent ya future generation, digital content, football coming up with a run of contest itaboost fan base ya mesh community. 3 cross promoting kupitia groups na friends around Iwapo naweza pewa nafasi, the above listed points na zingine achievable ni vitu naweza fanya kujenga mesh kwa ground. #BrandAmbassadorChallenge #Leggo
0
0
0