Hello ni George kutoka kibera, huku Kuna buzz sana juu utaunzia watu waaduka,mama bonga juu wakati hakuna na nare wanatumia pia Kuna makanisa mob hutumia izo candles masaa ya maombi,Kuna wholesale mob mtaa zenye hununu kiwholesale then wanauzia watu wa area, bars pia who tumia kama mauwa ya kufutia macustomers na arufu nzuri sana,kibera Iko na watu offer three million so supply hapa ni rahisi sana Bora tu uwe mtu wa kujituma daily like wakita tu wanapata.
0
0
0