Hello..ni jerald na mimi ni music trainer bt kwa ile part ya instrument so nimekuwa na chuo ya music na nimekuwa niki teach watoi na hata watu wakubwa so vile covid_19 ili kam ili bidii ni close bizz yangu due to finacial problems where by my student hakuweza kulipa doo za kuendelea kusoma about music in instrument then apart from that bada rent ya hiyo chuo yangu yenye nilikuwa nimefungu nailikuwa 3k coz ilikuwa room moja so bado rent ilinisumbua then bado doo yakuongeza insturument ikanisumbua sana so naomba kama MESH ina weza ni help in one way ya kuni help nitashukuru sana
0
0
0