Hello!! Nimekuwa nafikiria kuanzia hustle but nimekwama juu sielewi gani inataka capital less na inaeza pick poa. Am in Mombasa. Advice please.