
Hello RETAILERS AND HAWKERS 😇 How is this climate aafecting ur business?
Who has noticed the increased heat affecting most of us..juu hio jua weeeh... How is the heat affecting us and our business most especially watu wanauza perishable good na wenye tunaferry good ama tuko kwa kibanda
Most business pple wanacomplain eg good zinaharibika haraka eg skuma Vitu kwa duka kama vile mkate na maziwa pia Plus its making things difficult kukua transported ama kupelekwa mahali..
BUT REMEMBER YOUR HEALTH COMES FIRST MAKE SURE U DRINK ENOUGH WATER TO STAY HYDRATED 😇
0
0
0