
Hello retailers na hawker and potential bizness pple. 2023 is coming to an end in a few days.. Wewe kama mwanabiashara lazma uta account of ur business over the whole year ujue kama imegrow, Bizna imekua stagnat ama pia bizna yako huu mwaka imekua pabaya juu may be uli incur many losses.
Tuchapiane kwa comments section your business report na the lesson au tip ya biashara imekusaidia the most hii mwaka.
#mesher
0
0
0