
Hello Shally, Jaribu hizi ideas ;
- Apart from Sambusa , kuwa na varieties of snacks ie ongeza chapati na mandazi
- Kama unawezapata place ya kukàa tu kwa kitu kama umbrella then itakuwa better than hawking coz spectators watajua tu unakuwanga place flani, they will definitely be coming at the place .
- Try sana ukuwe very hygienic coz foods ndo zitembee unahitaji kuwa msafi Sana , use tongs or fork , avoid old magazeti.
- Buy your unga and sugar in bulk kwa wholesale and prepare your snacks kidogo kidogo.
- Assess market yako , master your competitors and try to outshine them , always remember a small profit on many sales iko better than a huge profit on little sales , unawezaongeza size ya mandazi, chapo na samosa zako kidogo.
- Masaa kuna jua , replace hiyo idea ya mala baridi na blended juice baridi , juice hutembea sana than maziwa , buy your fruits in bulk na ukuwe na extra icecubes za kuongeza kwa juice pia na ukuwe msafi . 7.Lastly . Ongelesha customers vizuri na usome kutoka kwa customers wako , utaskia wakianza kukuulizia vitu flani flani eg. "Uko na njugu", " Hii juice ungeleta na keki" " Hii masaa ya baridi si ungeleta uji power " . So utaweza amua kuchukua idea based on market demand na unapanuka . I wish you all the best Shally. #tujitume # tuhustle na Tujengane
0
0
0