
Hello Shally, Kuna vitu unaweza ongeza kwa hii hustle yako;
- Tengeneza Uji Power
- Njugu karanga watu hupenda sana
- Weka pia mayai Boil (Kienyeji na ya grade)
- Weka pia smokies na usisahau kachumbari
- Unaweza pika chapo kisha uikunjie kwa aluminium foil na uiweke mahali ikuwe Tu warm
- Kuna watu hupenda sana popcorns, unaweza pika kiasi pia
Hizi zote zinahitaji capital kiasi tu ili a-boost biz yake. Anaweza anza na quantity kiasi then akiona yenye inauzika sana ndio aongeze stock.
0
0
0