
Hello Sydney, Idea yako YA candles imeweza, lakini before ujuane na supplier, make sure Ume study market poa, Kuna gap YA candles if yes, wewe engage Na Wasee hutengeneza candles wata kurefer Kwa several suppliers ama kama unaweza soma online courses za Ku make candles pia hiyo itaidia biz yako. All the best. #CandleChallenge
0
0
0