
Hello team Meshers. Leo nadai kusherekea mesh for coming through to me. Manze hapa ni place nimeget knowledge and ideas za biz. Azin Kuna post nilicheki hapa kwa mesh some times back ilikua about business idea. Ilinijenga sana. Sai narun biz yangu fiti with no worries courtesy of Mesh. Manze tuendele kujengana
0
0
0