Hello Team MESH , hiyo test tulifanya ya Mesh Money Coach Pilot faida yake ilikuwa kutest nini?? Ju tulimaliza and nothing is happening. Lengo ilikuwa nini? Hope nmeuliza kwa uzuri Sijalalamika helping over 100 Meshers