
Hello there π I'm back na Niko na swali Umewahi peana extra change or balance ?π₯² Ama customer reverses your money π Ama anasema ame withdraw kumbe hapanaπ Ama ilikuwa batter trade Yaani ulipeana nzuri akakudanganya na fake???π
Ilikuwa how much? Na ulideal nayo aje? Then ilikukumbusha msemo wa 'once bitten twice shy' ama bado?
Tuchanue π€π€
0
0
0