Hello there, kuna vitu Team MESH haijawahi jua. Kwanza Meshers wamekuwa wakilalamika sana about issues hapa. Na mmekuwa mnakimya saaana. You see now kuna effort inaekwa Yes but haileti ile impact kubwa! Hata tukiwa na issues tuta raise aje kama ndogo ndogo tu hamfanyi. Mtu aongee vibaya aone 😁🤣. Ukweli wangu huwa sipost hapa because sina data ingekuwa na free mode nngechangamkiaa 😂😂. My opinion
0
0
0