
Hello wadau, so i managed to open up fruit vending job ronga, sasa shida iko ni i bought more then expected the first day, so maze my fruit's yakaaribika nikaenda loss, so nilisoma kuwa maze mtu huangalia venye soko iko first. The challenge is ni fruit going to waste since ukikata iezi lala, very challenging
0
0
0