Hello wana MESH naitwa Victor Nzioka, Gurem inataka kuanzisha shule Ye art na tunataka watu ambao wanaujuzi ndio tuaze hii shughuli ambayo tuna target vijana wa ghetto hapa nairobi